Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
Huyo aliyataka mwenyewe maana ni nyumbani kwa huyo mpiga risasiDah jamaa kawashwa moto hapo hapo,
Ni hatari kwa watu walio siriazi na wake zao!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo aliyataka mwenyewe maana ni nyumbani kwa huyo mpiga risasiDah jamaa kawashwa moto hapo hapo,
Ni hatari kwa watu walio siriazi na wake zao!
Ashukuru hawajamuua mana watu wa siku hizi wana hasira sana, mke hakuguswaSasa wamemshenyenta jamaa bila kumuadhibu na huyo mwanamke?
Ukute mwanamke ndo pepo lenyewe Sasa, litaenda kutafuta vijana wengine, bila kumwadhibu huyo mwanamke mbona watawashenyenta vijana wote watawamaliza.
Afu hio sio adhabu hiyo ni kutuongezea idadi ya wanawake tuu.
Unampa mtu adhabu ya kumshenyenta kumbe unatuongezea idadi ya wanawake,
Unataka wanaume tuanze Tena kusumbuliwa kushenyenta, maana tutazidiwa na wanawake Sasa lohhhhh
yas tena? Mnaichokoza tigo"Wakamchenyeta sana"..hebu fungua hii code! Jamaa kakatwa mapanga au kaliwa Yas?..
Najua inaumiza kusalitiwa lakini ndo inavotakiwa huwezi lazimisha mapenzi na kumdhuru mtu aliyekusaliti piga chini move onMwanaume anayemshambulia mwanaume mwenzio kisa kutoka na mke wake ni mjinga , Kwa maana mwenye makosa ni mke wake , mke kamsaliti means hamuheshimu na hampendi ko anachotakiwa ni kuachana na huyo mwanamke na sio kumshambulia , aweke hasira pemben
Noma sana kwahyo mpo kikazi zaidi hamcheki na kima 😁Vijana wako busy kubeba nondo wajaze vifua sisi tuko porini huko kupambana na dhahabu jua letu mvua yetu, mara umekutana na manyoka. Unarudi home usiku mkali kumbe kuna bwana mdogo kashalima shamba lako, saivi hatuongei sana ni vitendo tu
Yas magift yake yamesambaratishwa"Wakamchenyeta sana"..hebu fungua hii code! Jamaa kakatwa mapanga au kaliwa Yas?..
Tayari hatunaye tena kaleft groupAsee walichomfanyia washamgeuza demu tayari