Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
😂😂Hako ka Mbappe bora ka switch kwenye riadha. Vijitu vingine ni vile vimezaliwa Ulaya. Huyu kima hapa kibongo bongo yenyewe asingepata nafasi uswahilini. Yupo kama yule pimbi mwingine Tuisila.
Huyu pimbi hanifikii hata theluthi kwa ubora ambao bado niko nao kwenye soka licha ya umri wangu.
.Karata yangu
1 Ujerumani
2. Portugal [emoji777]
3.France[emoji777]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaam acha tyuuh.Relax tuu... mapema kesho saa tatu kinakuwa kimeumana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hovyo kabisa hawa, wametupotezea muda
Unapoteza nafasi ya kwenda 2-0 halafu dakika 3 baadaye uko nyuma 2-1??
Naunga mkono hii... Bingwa Ubelgiji nipo nae mwanzo mwishoThings are getting even better..
France out
Portugal out
Next ni England.
Hakika kabisa.
Thubutuuuuh German tunaingia final kirahisi na kutwaa ndoo.Hili kombe ni la denmark,we ngoja kesho tena Germany aage afu uone[emoji23][emoji23]
Cc Ollachuga Oc
German unawajua wee? [emoji23][emoji23][emoji23]Kashatoka naona njia nyeupe kwa Denmark huko
Ndo tutakao beba ndooo, German huu ubingwa ni wetu.Imagine lile kundi F la kifo imebaki Ujerumani pekee, naye anaweza akaaga
Kwani France tulikuwa hatuwajui..?German unawajua wee? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu naomba ile clip baada ya mbappe kukosa penalty kipa wa swiz akawa anashangaa shangaa akidhani penalty zinaendelea ikabidi wenzake wamshtue.."oya tumeshinda f*ra ww"
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa utaona.Kwani France tulikuwa hatuwajui..?
Wote wapo kaburini tayari.Italy watajipigia asubuhi tuu..
Itabidi nibadili gia angani hawa Italy sio..nilikuwa nimebet France na Portugal mmoja wao kubeba kombe.
Hahhahhaaa, kwa hisani ya @Rikboy yaaniMkuu @Mwifa mkeka wetu unazidi kuliwa kimasihara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani Jana hukutegemea France kuingia robo fainali kirahisi?Thubutuuuuh German tunaingia final kirahisi na kutwaa ndoo.
England akikutana na mpira wa kihuni wa Denmark au hawa Waswizi hachomoki.Bingwa awe yeyote ila sio England.. Wana midomo sana...