Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Hiyo ni game imemukataa tu leo. Dogo ameshaonyesha uwezo anao, bila yeye hawa hawa France sizani kama wangebeba kombe la dunia 2018.
mkuu mbona tunamuona kila weekend Mbappe ni overrated game ikukatae ndio one to one zaidi ya 5 ukose zote michuano yote inakuja kweli?......sahizi ndio nakumbuka fainal ya Psg na bayern alikosa goli za wazi hivihivi hadi bayern akabeba ndoo.....anavingi vya kujofunza kwa Benzema katika finishing......

Anakipaji ila sio kama kimavyokuzwa, style ya maisha yake sio sahihi alijisemea Giroud mtoto hatali toa hata pasi.
 
Mbappe missed from here

7A9625D4-BEC1-4B59-BD77-60B44018E958.jpeg
 
mkuu mbona tunamuona kila weekend Mbappe ni overrated game ikukatae ndio one to one zaidi ya 5 ukose zote michuano yote inakuja kweli?......sahizi ndio nakumbuka fainal ya Psg na bayern alikosa goli za wazi hivihivi hadi bayern akabeba ndoo.....anavingi vya kujofunza kwa Benzema katika finishing......

Anakipaji ila sio kama kimavyokuzwa, style ya maisha yake sio sahihi alijisemea Giroud mtoto hatali toa hata pasi.
Kibaya zaidi ana tabia ya ubinafsi sana,na hii tabia nimeiona kwa makinda wengi wa miaka hii wanaokuzwa sana na vyombo vya habari,mfano Rashford.
 
Back
Top Bottom