Tanayzer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,010
- 7,360
mkuu mbona tunamuona kila weekend Mbappe ni overrated game ikukatae ndio one to one zaidi ya 5 ukose zote michuano yote inakuja kweli?......sahizi ndio nakumbuka fainal ya Psg na bayern alikosa goli za wazi hivihivi hadi bayern akabeba ndoo.....anavingi vya kujofunza kwa Benzema katika finishing......Hiyo ni game imemukataa tu leo. Dogo ameshaonyesha uwezo anao, bila yeye hawa hawa France sizani kama wangebeba kombe la dunia 2018.
Anakipaji ila sio kama kimavyokuzwa, style ya maisha yake sio sahihi alijisemea Giroud mtoto hatali toa hata pasi.