Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo


Will face Italy in the next round, It will be beaten again?
 
Mancini alitupunguzia utamu baada ya kuwatoa Veratti na Insigne, Wale Belgium walitakiwa kufunzwa adabu. Zile dakika 10 za mwisho zimefanya waonekanwa kama walifungwa wakipambana, hata referee nae aliwasidia.
 
Juzi juzi nilisema humu mjerumani asipomalizana na õzil atateseka sana kwenye soka la kimataifa..[emoji15]
 
Same to me..huwa sielewi hicho kizazi cha dhahabu ni kipi..

They are just an ordinary team,..
Kizazi cha dhahabu kwao sio cha Dunia. Kabla ya hao Ubelgiji walikuwa wajinga wajinga tu. Mfano kuanzia 1984 mpaka 2000 hata Euro hawafuzu wanatoka huko huko hatua za Mwanzo.

Ila siku hizi kawaida kufika robo ama nusu michuano mikubwa.

Hata Tanzania kizazi Cha kina Tenga tu naweza kiita Golden Generation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…