Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa, mm nadhani namba moja mechi ya France Vs SwitzerlandHii ndiyo mechi ya pili kwa ubora baada ya ile ya France vs Switzerland
Akikomaa anatoboa now yupo 19 years, jamaa super hatariYes! Doku namkubali.
Karibu kwa wana Azzurri, the Italian jobMmi nipo Ubelgiji,kama watatolewa Italy bingwa lakini siwez nikawashangilia
Yes ile ilikuwa kubwa sanaKabisa, mm nadhani namba moja mechi ya France Vs Switzerland
Tuko mbele kwa goli 1 sasaWale Wa Denmark tujuane mapema.
Goli 2-0Tuko mbele kwa goli 1 sasa
Wako serious hawa jamaa, ila wasije wakafanye upuzi kama wa France na mwenzake kuruhusu kudraw dakika za mwishoGoli 2-0
Hahahha wanaupiga mwingiNamba za Denmark ninazo,nitawapigia.
Hawa hawawezi wanajua wanachokitafuta.Wako serious hawa jamaa, ila wasije wakafanye upuzi kama wa France na mwenzake kuruhusu kudraw dakika za mwisho