The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,899
Ila wanaonekana hatari kwenye counter
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wanaonekana hatari kwenye counter
ID yako mkuu ipo mikonono mwa ItalyFrance
Belgium
Italy
Portugal
Bingwa asipotokea hapo id yangu ipigwe banned
Unamuonaje? Maana kwenye uhamisho wake taarifa zilikuwa gumzo sanaSancho kaanza leo
Kawaida, bado hajapata nafasi kubwa ya kutuonesha uwezo wakeUnamuonaje? Maana kwenye uhamisho wake taarifa zilikuwa gumzo sana
Hakuna timu hapoEngland mpaka final
Mkuu nafikiri matokeo ndo huamua...England mbovu kama hii haiwezi kufika popote, yaani inapelekwa puta na wachezaji wa timu ndogo kama Dinamo Kiev,Shaktar Donestky nk,wakibahatika kuvuka hapa Safari yao itaishia kwa Denmark
England mbovu kama hii haiwezi kufika popote, yaani inapelekwa puta na wachezaji wa timu ndogo kama Dinamo Kiev,Shaktar Donestky nk,wakibahatika kuvuka hapa Safari yao itaishia kwa Denmark
Ushindi wao wa goli moja moja sio mzuri kabisa.Mkuu nafikiri matokeo ndo huamua...
Ni hivi labda wategemee bahati tuu afu timu inacheza nyuma zaidi na kutegemea dribble za Rahim tuu basi,sasa hawa wanaweza cheza kweli na Italy?Ushindi wao wa goli moja moja sio mzuri kabisa.
Wakipita kwa hili goli, huko mbeleni watapata tabu.