Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #2,661
Aiseee, leo wamejiokoteaLafikisha jumla assist 3.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee, leo wamejiokoteaLafikisha jumla assist 3.
Southgate hapa aliona vizuri sana.Kalvin Phillips anatoka, jamaa anaupiga mwingi sana, Leeds wajiandae kupokea ofa nono
Toka nimeangalia mechi za euro hii ndio mechi ya hovyo kabisa utafikiri ni friendly ,Sijui Hawa Ukraine walivuka vipi
🔥🔥🔥🔥Southgate hapa aliona vizuri sana.
Ile Brazil ilikuwa mbovu sana kama saa yangu [emoji28] [emoji28]Hawa Ukraine wananikumbusha Brasil ya 2014!
Yaani wanafungwa kizembe mno.
Hakuna hata haja ya kuendelea na mechi.
Yeah nakumbuka ile robo fainali.Ile Brazil ilikuwa mbovu sana kama saa yangu [emoji28] [emoji28]
Tulikuwa tunaisubiri tu itafungiwa wapi. Nakumbuka match yake ya Robo Final alipigiwa mpira mwingi sana na Chile ajabu akashinda yeye
Ni Denmark sio SwedenItaly wakijipigia Spain ndio watakuwa mabingwa,Hawa English watakuwa kushiriki mechi ya fainali au hata wasipite kwa Sweden
Yan vijana wamechoka utafikir wamelewa mnanasi.Ukraine wapo taabani kabisa watapigwa hata tano.
Kumbe hawajawahi kupata taji la Euro?Mafanikio ya England katika michuano ya Euro ni kufika Nusu Fainali mwaka 1996 walipokuwa wenyeji
Mechi ijayo atafungwaEngland hajaruhusu goli katika michuano hii
Yan hawa washenz wamewapa hii team ya waandishi wa hbr mtelezo fulan ivi..mm simuderestimate Denmark..narudia tena siwachukulii poa kbs Denmark..England sijasema hawez pita lkn Napend sana mpr wa Denmark na nasbr kuona game yao na watt wa malkiaToka nimeangalia mechi za euro hii ndio mechi ya hovyo kabisa utafikiri ni friendly ,Sijui Hawa Ukraine walivuka vipi
Wapigwe cha tano nivute mkeka.Yan vijana wamechoka utafikir wamelewa mnanasi.
Haha umeweka ov 4.5 naona mkuu.Wapigwe cha tano nivute mkeka.
Nimeliwa.Haha umeweka ov 4.5 naona mkuu.