Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Italy wakijipigia Spain ndio watakuwa mabingwa,Hawa English watakuwa kushiriki mechi ya fainali au hata wasipite kwa SwedenFainali yaelekea itakuwa kati ya Italy na England!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Italy wakijipigia Spain ndio watakuwa mabingwa,Hawa English watakuwa kushiriki mechi ya fainali au hata wasipite kwa SwedenFainali yaelekea itakuwa kati ya Italy na England!
Ukraine wapo taabani kabisa watapigwa hata tano.
Unaiongelea Sweden ipi ndugu.. Hii iliyotolewa na Ukraine auItaly wakijipigia Spain ndio watakuwa mabingwa,Hawa English watakuwa kushiriki mechi ya fainali au hata wasipite kwa Sweden
Nilimaanisha Denmark,typing errorUnaiongelea Sweden ipi ndugu.. Hii iliyotolewa na Ukraine au
Lafikisha jumla assist 3.Luke anakwenda katika benchi akiwa na assist zake mbili katika mchezo wa leo
Toka nimeangalia mechi za euro hii ndio mechi ya hovyo kabisa utafikiri ni friendly ,Sijui Hawa Ukraine walivuka vipiRobo fainali nyepesi sana