OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Ndoo itabebwa na Denmark mkuuItaly atachukua Euro 2020.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoo itabebwa na Denmark mkuuItaly atachukua Euro 2020.
Huyu england tunampa Denmark tu anamtosha kumnyoosha.Croatia tulimpiga goli moja kwa bila.
Hapana. Denmark bado sana mkuu. Timu ya Italy ni very organised, committed & hakuna selfish katika wachezaji.Ndoo itabebwa na Denmark mkuu
Ngoja tuone itakavyokuwa lakini naamini Denmark sana mpira safi sana. Hawachezi kivile ila wanajua wanachokifanya.Hapana. Denmark bado sana mkuu. Timu ya Italy ni very organised, committed & hakuna selfish katika wachezaji.
Hii Euro balaa mzee..sema hata mm naimani sana na "Azzuri"..wajomba wako vzr experience na damu changa zinawasaidia sana na ukiweka na kocha mzr anayejua mfumo wa kiItalia(Kujilinda kwnz vzr kabla ya kuwaza kufunga)..naiona Italy wakinyanyua makwapa..lkn Dark Horse wng lilitokea la kutokea sitashangaa sana ni Denmark.Yaan nlikua uhakika timu mbili hapo lazima zitoboe nusu fainali ila ndo hivyo...bado naamini Italia atanitetea
HajawahiKwani England ajaahi beba hii zaga?
HahahaOoh toka euro ianze hakuna mechi mbovu kama hii mara ooh hawa Ukraine wamefikaje robo fainali mara ooh England leo kajipatia sasa mlitegemea nini waqt ratiba ndio ilisema tukutane nao ingekuwa nyinyi mashabiki khasa wa jf mnapiga kura tukutane na nani ingekuwa sawa au wangetufunga pia mngesema katika miamba minne ya ulaya sisi tupo alimalizia kusema yule mlevi
Hajawahi kabisaaaKumbe hawajawahi kupata taji la Euro?
Ngoja tusubirie tuoneMechi ijayo atafungwa
Ngoja tuone kama watajaribu bahati yaoHajawahi kabisaaa
Ooh toka euro ianze hakuna mechi mbovu kama hii mara ooh hawa Ukraine wamefikaje robo fainali mara ooh England leo kajipatia sasa mlitegemea nini waqt ratiba ndio ilisema tukutane nao ingekuwa nyinyi mashabiki khasa wa jf mnapiga kura tukutane na nani ingekuwa sawa au wangetufunga pia mngesema katika miamba minne ya ulaya sisi tupo alimalizia kusema yule mlevi
Nothing much, ila kulikua na flash of brilliance,Vp kiwango cha jadon sancho mmekionaje jana?
Kwasababu tu ya huruma watamchagua Huyo wa DenmarkWho is the best manager left at #EURO2020?
[emoji634] Roberto Mancini
[emoji633] Luis Enrique
[emoji1087] Kasper Hjulmand
[emoji1022] Gareth Southgate
Four coaches on the brink of history [emoji2956]View attachment 1840660
Vijana karibu wote walikuwa wamejiamini sana kama wapo mazoeziniVp kiwango cha jadon sancho mmekionaje jana?
Hata hivyo kapambana sana, imagine kafuzu 16 bora kwa kushinda mechi 1 tu, kuanzia hapo kapambana hadi nusu fainali.Kwasababu tu ya huruma watamchagua Huyo wa Denmark