Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Yaan nlikua uhakika timu mbili hapo lazima zitoboe nusu fainali ila ndo hivyo...bado naamini Italia atanitetea
Hii Euro balaa mzee..sema hata mm naimani sana na "Azzuri"..wajomba wako vzr experience na damu changa zinawasaidia sana na ukiweka na kocha mzr anayejua mfumo wa kiItalia(Kujilinda kwnz vzr kabla ya kuwaza kufunga)..naiona Italy wakinyanyua makwapa..lkn Dark Horse wng lilitokea la kutokea sitashangaa sana ni Denmark.
 
Ooh toka euro ianze hakuna mechi mbovu kama hii mara ooh hawa Ukraine wamefikaje robo fainali mara ooh England leo kajipatia sasa mlitegemea nini waqt ratiba ndio ilisema tukutane nao ingekuwa nyinyi mashabiki khasa wa jf mnapiga kura tukutane na nani ingekuwa sawa au wangetufunga pia mngesema katika miamba minne ya ulaya sisi tupo alimalizia kusema yule mlevi
Hahaha
 
Its coming home
 
Who is the best manager left at #EURO2020?

[emoji634] Roberto Mancini
[emoji633] Luis Enrique
[emoji1087] Kasper Hjulmand
[emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Gareth Southgate

Four coaches on the brink of history [emoji2956]
IMG_20210704_144901_703.jpg
 
Back
Top Bottom