Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

For me Roberto Mancini is the best until now
Nilichompendea ni kuwa kachezesha kila mtu kwenye kikosi chote(26).

Enzi zake mwaka 1990 WC, alikuwa miongoni mwa kikosi chao ila hakucheza hata sekunde 1, kitendo hicho kilimfadhaisha sana.

Hajataka kijirudie kwa wachezaji wengine wakati yeye akiwa ni kocha. Na tayari kashalitekeleza
 
In 2006, Italy knocked out Ukraine in the quarter-finals of the World Cup and went onto win the competition.

In 2020, England have knocked out Ukraine in the quarter-finals of European Championship…
Wanakwambia

"It's coming home"
 
Kumkosa Spenizzola ni pigo kubwa kwa italia. So far jamaa kaupiga Sana. Alikuwa msaada mkubwa kwa kupandisha mashambulizi.
Spain leo wataambulia kukaa na mpira. Sioni kama wana uwezo wa kufungua backline ya italia. Hiii game italia wanashinda kwa 1-0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…