Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kbs mkuu ngj tuone trh11.Ngoja tusubiri huenda bahati ikaangukia kwao ili tuvunje rekodi ya Messi kuwa mchezaji bora asiyewahi kushinda International/Major trophy
Aanha ina watch bila matatz sioNi website
Yaani ikizingua basi ni upande wa network yako ya simu, ila mechi zote kubwa zipo huko, afu unatumia mb 400 mpk 500 kwa mechi mojaAanha ina watch bila matatz sio
Niko hapapTunaosimama na king Messi pamoja na Italy mikono juu
Link nyingine hii hapa: iko poa Sana, sijawahi kukosa game yoyote Ile labda niwe sijataka kuicheki.Yaani ikizingua basi ni upande wa network yako ya simu, ila mechi zote kubwa zipo huko, afu unatumia mb 400 mpk 500 kwa mechi moja
Tunaosimama na king Messi pamoja na Italy mikono juu
Daa kusema mpira wa itali jana ulikuwa wa kawaida sana, walikamatwa idara zote na wale wacheza saksasi.
Hivi Fred vipi perfomance yake?
Hii ngoma Uingereza hatoboi. Denmark kila mchezaji amekamilika na yyte anweza funga goal. Mchezo wao ni kama Germany ya 2014 sekunde 5 tu washafika golini mwako.
Final Italy vs Denmark. Mipira yao inafanana. Counter attack za nguvu. Ila Italy viungo wao wako imara zaidi. So bahati inaweza enda kwa Italy. Wakienda penalty shoot out bahati ni kwa yyte.
Msisahau baadaye kuna nusu fainali kati ya Argentina na Colombia kule kwa Copa Americaβ¦
Hapana mkuu, sheria ya handball imebadilishwa, Ukigusa mkono si kwa kukusudia na mpira ukiwa hauelekei mazingira hatarini hio sio Penalty.Nahisi wameamua kutimia busara ila ile ni penati ya wazi
Always Mancini anafeli kwenye sub
Sijamuelewa belard
Kumtoa insigne
Kumuingiza belloti
Italy tumepoteza morale yote
Mimi kama Mshabiki wa England namuombea Italy aende fainali.
Jorginho awe wa mwisho πππ
Jibu hili halijatolewa na mwanamichezo kabisaHatuna muda mchafu wa kushuhulika na ligi za vichochoroni
Hii Team siku Messi akiachana nayo mazima watakuja kumkumbuka sanaPamoja kamanda wangu...Messi Messi Messi sema wenzie wanamuangusha babaa, hawajitumi....wanawaacha maadui wanaingia hadi kwenye 18! Game ya jana baada ya colombia kurudisha lile goli nikakata tamaa kabisaa....aise wabadilike kwakweli, Messi amepambana mno...next match i wish Gomez na Lautaro awaanzishe, gonzalez apumzike na Aguero warest
Kwa Italy sina Mashaka nao
Italy na Denmark wanaingia final, one of anachukua ndoo maana wote wako kwenye form nzuri sana..
Vipaji vyao ni vya kawadia tu ila wanajikuza sana kuliko uhalisia, wanacheza vizuri lakini kwenye media ndio wanacheza vizuri zaidi.Hivi kwanini tunawa-writeoff sana Uingereza..hawana vipaji,muunganiko mzuri au nini?.
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Hivi kwanini tunawa-writeoff sana Uingereza..hawana vipaji,muunganiko mzuri au nini?.