Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Harry Kane Vs Kasper

68AA30D5-207B-40F0-AAE1-82A33D15F5CE.jpeg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23], watakapobeba ndoo ndio utawaelewa vzr mkuu, now wamechange sana, hvi England ni yakumgaragaza mjerumani kweli??.
Lkn mkuu wote tunajua Ujerumani sio ile ambayo tuliiona miaka ya karibuni..Germany walikua wameshafika peak yao na the only way ilikua ni down ili kuregroup tena upya ndo maana unaona wameanza project mpya saiv na Hans Flick..so hoja yng ni kwamb England kumfunga Germany ya sasa sio big deal ukizingatia Germany imeshuka sana ranks sio ile tena..najua washabik wa team ya Malkia mna uchu sana na Kombe lkn bd Siioni ni namna gn England anakua bingwa wa Euro hii..tuanze na Denmark leo tukimaliza tutawaona kama mkifanikiwa kukutana na Italy.
 
Hii Team siku Messi akiachana nayo mazima watakuja kumkumbuka sana
Sijui kwanini huwa hawajitumi wanamtegemea messi pekee
Huyu Aguero akiwa city ni tofauti na Argentina Why?
Napataga hasira sana


Watamkumbuka sana....tatizo hawa vijana hawapambanii taifa lao kabisaa, wako tofauti na chile, brazili na colombia jinsi wanavyojituma mpaka unatamani...wao wanamuachia mzigo wote Messi..inakera sana mkuu....Mimi ni shabiki mkubwa mno wa Argentina, lakini hawa mabishoo wanatuangusha kila final....yule star wa Juventus paulo dybala anakula bata na akina pogba huko miami hana habari na timu yake 😂
Screenshot_20210707-180006_Instagram.jpg


Ingawa Denmark leo atakuangusha mkuu.
Let's see kamanda
 
Back
Top Bottom