Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #3,281
England wameanza na kasi kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23]mkui umefny nifurah tu..eti ni bora wakubal yaisheEngland ni heri wakubali yaishe waage mashindano leo, Wakileta ubishi Fainali wanakwenda kuaibika na kuwaaibisha Royal family na ma Sir wao watakaojitokeza uwanjani kwa confidence ya kudanganywa na media zao.
Ndo shda yake kubwa yan kijana uwa hanaga kbs utulivu na ndo maana uwa ana fny sana panic decisions kupelekea errors za kufungwa.Pickford hawezi kucheza katika timu inayonolewa na Guardiola kwakuwa hana utulivu kabisa, yeye muda wote anabutua
KishaumanaOoohooooo bonge la goli aisee
Why hawako happy? Shaw kazingua pale na kafanya clear foul1-0 Damsgaard. A special goal! England not happy with the award of the free-kick. #Eng #Euro2020 #Den