Jaby'z
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 4,303
- 7,629
Ndomaana ikaitwa gambling chief.Mkeka wako ukilost usinikwide mashati lakini..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndomaana ikaitwa gambling chief.Mkeka wako ukilost usinikwide mashati lakini..
Hii Team siku Messi akiachana nayo mazima watakuja kumkumbuka sana
Sijui kwanini huwa hawajitumi wanamtegemea messi pekee
Huyu Aguero akiwa city ni tofauti na Argentina Why?
Napataga hasira sana
Watamkumbuka sana....tatizo hawa vijana hawapambanii taifa lao kabisaa, wako tofauti na chile, brazili na colombia jinsi wanavyojituma mpaka unatamani...wao wanamuachia mzigo wote Messi..inakera sana mkuu....Mimi ni shabiki mkubwa mno wa Argentina, lakini hawa mabishoo wanatuangusha kila final....yule star wa Juventus paulo dybala anakula bata na akina pogba huko miami hana habari na timu yake 😂
View attachment 1844955
Let's see kamanda
Dada yangu Numbisa huu uzi hujautendea haki. Kupita bila zile gif zako sio safi. Leo usituangushe wakati chamdoma watakapokuwa wakiadhibiwa. Ujue zile gif zimekuwa kama Trade mark yako😁😁😁
Numbisa baada ya Penaldo kufungishwa virago mudi ya Euro imempotea kabisa 😂😂😂
Hebu njoo huku dada tunataka goli la Chiesa la jana tujikumbushe raha
Ndomaana ikaitwa gambling chief.
Hiyo hapo prediction yangu.
Hatukubali tunataka ile original ya timu 16 🤣🤣7 min to kick off, jamvi langu lipo kibarazania hapaView attachment 1845218
Ule wahuni waliugawana aisee. HahahaaaaHatukubali tunataka ile original ya timu 16 [emoji1787][emoji1787]
Hatutaki hatutaki hatutaki