Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Tunaosimama na king Messi pamoja na Italy mikono juu

Pamoja kamanda wangu...Messi Messi Messi sema wenzie wanamuangusha babaa, hawajitumi....wanawaacha maadui wanaingia hadi kwenye 18! Game ya jana baada ya colombia kurudisha lile goli nikakata tamaa kabisaa....aise wabadilike kwakweli, Messi amepambana mno...


Kwa Italy sina Mashaka nao
Italy na Denmark wanaingia final, one of anachukua ndoo maana wote wako kwenye form nzuri sana..
 
Daa kusema mpira wa itali jana ulikuwa wa kawaida sana, walikamatwa idara zote na wale wacheza saksasi.

Mkuu Puttin, Italy wako on 🔥🔥🔥 kwa sasa....sema wamekutana na wasakata mpira wa kispain, na spain ya sasa sio ile ya miaka ya nyuma ya akina xavi, torres na iniesta, aise mbona italy angekula nyingi!


Top 5 yangu bora kwa sasa
1 Italy
2 Spain
3 Denmark
4 Belgium
5 Germany

 
Hii ngoma Uingereza hatoboi. Denmark kila mchezaji amekamilika na yyte anweza funga goal. Mchezo wao ni kama Germany ya 2014 sekunde 5 tu washafika golini mwako.

Final Italy vs Denmark. Mipira yao inafanana. Counter attack za nguvu. Ila Italy viungo wao wako imara zaidi. So bahati inaweza enda kwa Italy. Wakienda penalty shoot out bahati ni kwa yyte.

Italy na Denmark one of them anachukua ndoo, na ukizingatia Denmark pia wachezaji wake almost wote wamekamilika...so Mechi itakua ngumu kwa wote....


Uingereza labda apaki basi, lakini kutoboa ni ngumu mno kwa Denmark

My friend Mussolin5 nisamehe aise 🤣🤣🤣 mpira una maajabu yake, mnaweza toboa....
 
Pamoja kamanda wangu...Messi Messi Messi sema wenzie wanamuangusha babaa, hawajitumi....wanawaacha maadui wanaingia hadi kwenye 18! Game ya jana baada ya colombia kurudisha lile goli nikakata tamaa kabisaa....aise wabadilike kwakweli, Messi amepambana mno...next match i wish Gomez na Lautaro awaanzishe, gonzalez apumzike na Aguero warest


Kwa Italy sina Mashaka nao
Italy na Denmark wanaingia final, one of anachukua ndoo maana wote wako kwenye form nzuri sana..
Hii Team siku Messi akiachana nayo mazima watakuja kumkumbuka sana
Sijui kwanini huwa hawajitumi wanamtegemea messi pekee
Huyu Aguero akiwa city ni tofauti na Argentina Why?
Napataga hasira sana
 
Hivi kwanini tunawa-writeoff sana Uingereza..hawana vipaji,muunganiko mzuri au nini?.
 
Hivi kwanini tunawa-writeoff sana Uingereza..hawana vipaji,muunganiko mzuri au nini?.
Vipaji vyao ni vya kawadia tu ila wanajikuza sana kuliko uhalisia, wanacheza vizuri lakini kwenye media ndio wanacheza vizuri zaidi.

Lakini yote yanawezekana acha tuone
Kocha wao ana selective mbaya ya kikosi chake ni kama anajaribu jaribu
 
Back
Top Bottom