Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

England hawana timu nzuri, na mchezo wao ni wakubahatisha bahatisha tu. Hiyo hatua wamefika kimizengwe tu. Muller aliwasaidia sana
Timu ina nyota kama Jack Grealish,Mount,Foden,Harry Kane,Shaw,Trippier,Walker,Sancho,kivipi inakuwa siyo timu nzuri?..

Tunataka kusema Denmark wana vipaji vikubwa kushinda Uingereza?..
 
Umeongea ukweli mtupu mkuu, ila pamoja na kufungwa jana spain walikuwa na mpira mzr sana jana, naamini wakijipanga vzr wanaweza kurudi kuwa fire kama enzi za hao manguli uliowataja,.
 
Ingawa Denmark leo atakuangusha mkuu.
 
Nakubaliana na ww mkuu. Thou matamanio yangu n kuona England wakimwaga machozi hapo hapo nyumbani kwao [emoji4][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ni roho mbaya tuu kwa waingereza
[emoji23] [emoji23] [emoji23], watakapobeba ndoo ndio utawaelewa vzr mkuu, now wamechange sana, hvi England ni yakumgaragaza mjerumani kweli??.
 
Jana kila timu ilikuwa ikicheza aina ya mpira wao, Spain kacheza mpira wao wa tiktak wakati Italy wamelazimika kutawalia na kupaki basi ili kucheza mpira wa counter attack na pengo la spinazzola limeonekana kwa Italy
Kweli mkuu, sema final anaweza akapigwa booster akacheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…