Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kwa staili wanayocheza hao Italia, sidhani kama wanaweza kuifunga England!Italy(Wakatoliki) ni famba ama
Lakini hata England anacheza defensive zaidiKwa staili wanayocheza hao Italia, sidhani kama wanaweza kuifunga England!
England wanacheza kwa uchu. Wanacheza kama wanataka kubeba kombe.
Italia wao muda mwingi wako on defense.
Shumaiko.Nani anastahili mchezaji bora wa mechi?
Jana nilikwambia hapo kwa Denmark atatolewa na atasonga EnglandNarudisha mkeka wangu nyuma ya mlango hadi baadae tenaView attachment 1844017
Hebu angalia stats za mchezo uone attempts on goal, shots on target, possession, nk.L
Lakini hata England anacheza defensive zaidi
Shumaiko.
It was a soft penaltyIla ile penati siyo kabisa aisee!
Mazee niaje?Narudisha mkeka wangu nyuma ya mlango hadi baadae tenaView attachment 1844017
Bora wanetu Waitaliano wafanye jamboEngland wakichukua kombe hatutalala aiseee
England wamenifurahisha sana!
Tournament nzima wamecheza kama wanataka kushinda ubingwa!
Wanaustahili ubingwa na kombe wanalibeba Jumapili.
Mkeka ushachanikaNarudisha mkeka wangu nyuma ya mlango hadi baadae tenaView attachment 1844017
Washukuru own goal, la sivyo wangekiona cha mtema kuni matuta.Jana nilikwambia hapo kwa Denmark atatolewa na atasonga England
Coming home