Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Hii sheria ya upigaji penati itazamwe upya.

Huwezi mpa mpigaji "double advantage". Ni unyang'anyi kwa timu pinzani.

Akipiga penati asiruhusiwe kuucheza tena mpira ikitokea "rebound" ya namna yeyote ama vinginevyo mpira huo umeguswa na mchezaji wa ndani wa timu pinzani.
Inatakiwa mpigaji asiruhusiwe kuupiga tena, ila mchezaji mwingine ndio aupige
 
Usijali ndugu yangu Simon, tumepambana hata walipopewa penati ya magumashi niliiokoa ila ikawa ndio hivyo, amka tukajiandae tukapambane tena mwakani kule Doha
IMG_20210708_011924_104.jpg
 
England [emoji471] Italy [emoji966]

Argentina [emoji471] Brazil [emoji966]
 
Back
Top Bottom