Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Una beckham, wazza, rio, Terry, lampard, Gerrard, Cole, scholes, hargrave's na wengine wa kizazi kile lakini hatukuweza kufika hapa najiuliza chemistry haikuwepo au ni nini? .Kwa uwezo wa mmoja mmoja majina yale yalikuwa yanatisha
Kuchukua kombe hasa hii michuano ya kutoana toana unahitaji bahati fulani hivi..
 
Gordon banks, Stanley mattew, bobby moore jack na Bobby charlton, ghoff hurts nobby style walichukua mwali hapo Wembley mwaka 1966 kwa kuwafunga west Germany 4 kwa 2. Mwaka 1990 Gary Lineker, Shilton, David platt glen hoddle walifika nusu fainali na kutolewa na west Germany kwa shida mpaka mwaka 1996 euro hapo hapo Wembley tulipotolewa na Germany kwa changamoto ya mikwaju na huyu Southgate ndo alikosa penalt miamba kama Paul gazza Stuart peace Paul Ince na mingine ilikuwepo .Njoo mwaka 2018 tulipotoka nusu fainal ya kikombe cha dunia dhidi ya Croatia na mwaka huu tunacheza fainal ya euro mafanikio katika soka hatujakutana nayo barabarani tupeni heshma yetu tupo katika ramani ya soka ya kilimwengu go go go the three lions
.Njoo 2018 tulipof
Its coming home NOT in yours. #Italy for euro 2020#.
 
401D815D-8F33-4C30-96D9-111E6CF05738.jpeg
 
Back
Top Bottom