makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kuchukua kombe hasa hii michuano ya kutoana toana unahitaji bahati fulani hivi..Una beckham, wazza, rio, Terry, lampard, Gerrard, Cole, scholes, hargrave's na wengine wa kizazi kile lakini hatukuweza kufika hapa najiuliza chemistry haikuwepo au ni nini? .Kwa uwezo wa mmoja mmoja majina yale yalikuwa yanatisha