makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kama mnataka fitina hata goli la foul la Denmark halikua halali. Sheria inasema wazi timu inayoshambulia inatakiwa angalau iwe mita 1 mbali na ukuta wa timu inayokaba.
Ingekua uingereza ndio wamefunga hii foul siku nzima watu wangeizungumzia jinsi uingereza alivyobebwa na free kick isio halali. Sababu denmark ndio kashinda munaipotezea.
Pia beki wa Denmark Ali rudisha mpira kwa kipa, ambayo adhabu yake ni free kick ndani ya box.
Mita moja kwa upande gani!? Pembeni au mbele yao.. Ukiangalia vizuri, wachezaji wa England [emoji1022] wamesimama kwenye ile mark line aliyoweka refa na sio kuwa wako nyuma yake, naona ni mchezaji mmoja tu ndio yupo nyuma ya huo mstari.