Pana waqt huwa nagoma kuamini kikosi kile hakikuweza kutamba
Itambe kwa misingi ipi? umejaribu kuzikagua timu nyengine zilivyokua? umetizama vipaji walivyokua navyo Italy? Brazil? Spain? Ujerumani? Halafu unaulizia mafanikio !!!!!!!!
Unakumbuka lile ringi alilopigwa Cole na Ronaldinho akagaragara ?