Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Sure
footballjoe_1625850186622135.jpg

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Hahaha, ila Italy wana mambo aisee...

nilikuwa namshangaa Chiellini anavyomchekea chekea Jodi Alba na kumshika kama katoto kabla ya kupiga penati nikajiuliza kuna nini na mpaka sshv sielewi

0_Euro-2020-Semi-Final-Italy-v-Spain.jpg
 
Una beckham, wazza, rio, Terry, lampard, Gerrard, Cole, scholes, hargrave's na wengine wa kizazi kile lakini hatukuweza kufika hapa najiuliza chemistry haikuwepo au ni nini? .Kwa uwezo wa mmoja mmoja majina yale yalikuwa yanatisha
Timu ilikuwa haina balance.

Unakuta kwenye midfield wana strong players lakini golini wanapazia.

Au kwenye defence wana magalasa imagine world cup 2010 walienda na Mathew Upson kama beki wa kati
 
Pana waqt huwa nagoma kuamini kikosi kile hakikuweza kutamba
Hakikuweza kutamba kwa kukosa wachezaji wazuri kwenye maeneo muhimu.

Baada ya David James Uingereza haikuwa tena na golikipa bora walau kuweza kumtegemea kwenye mashindano.

Na kwenye maeneo mengi uwanjani walikuwa na mapungufu makubwa sana ikiwemo kuwa na wachezaji wengi ambao walikuwa old school wakati timu zilikuwa zinashift kutoka kwenye mechanical football kwenda kwenye mpira unaotumia skills.
 
Hata David James nae alikuwa mwezi mchanga uingereza makipa ni Gordon banks, Peter Shilton na akamalizia David seamen hawa wengine tunapuyanga puyanga tu.
 
Hahaha, ila Italy sana mambo aisee...nilikuwa namshangaa Chiellini anavyomchekea chekea Jodi Alba na kumshika kama katoto kabla ya kupiga penati nikajiuliza kuna nini na mpaka sielewi

View attachment 1848183
Huyo Chiellin tokea anaingia uwanjani alikuwa na vibe sana moyoni mwake maana alikuwa anafuraha sana mpaka nikawa najiuliza anafurahia kitu gani. Walipoenda kwa waamuzi kurusha shilingi akawa na masihara sana akawa anamzingua captain wa Spain. Sijui alikuwaje huyu mwamba
 
Hata David James nae alikuwa mwezi mchanga uingereza makipa ni Gordon banks, Peter Shilton na akamalizia David seamen hawa wengine tunapuyanga puyanga tu.
Modern Pickford amekuwa bora sana toka World cup 2018.

Hata sasa hivi Uingereza siyo bora kivile kwenye defence ile Pickford anafanya kazi yake vizuri sana.
 
Back
Top Bottom