Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Ni mfungaji bora? Tuna ingia fainali na hakuna mwenye record yake. Goli 5 na assist 1. Na toka Euro ianzishwe Ronaldo Ana Goli 14 na Platini wa pili ana Goli 9. Huoni kwamba ni Striker Bora zaidi michuano ya Euro?

kati ya hayo magoli matano matatu ni kwa njia ya penalty na mawili ndani ya six yard sioni ubora hapo. Schick amepiga goli 5 safi kabisa za heshima huku moja lao likiwa goli bora la mashindano.

Platini amefunga magoli 9 kwenye mechi 5 tu tena ndani ya mashindano mamamoja. Ronaldo hayo magoli imemchukua mechi 25 tena ndani ya michuano mi 5.
 
Platini amefunga magoli 9 kwenye mechi nne tu tena ndani ya mashindano mamamoja. Ronaldo hayo magoli imemchukua mechi 25 tena ndani ya michuano mi 5.
Maelezo haya hayajajitosheleza kwa kuondoa ubora wa CR 7 katika mashindano ya EURO.
Usisahau pia CR 7 amechukua EURO.
 
kati ya hayo magoli matano matatu ni kwa njia ya penalty na mawili ndani ya six yard sioni ubora hapo. Schick amepiga goli 5 safi kabisa za heshima huku moja lao likiwa goli bora la mashindano.

Platini amefunga magoli 9 kwenye mechi 5 tu tena ndani ya mashindano mamamoja. Ronaldo hayo magoli imemchukua mechi 25 tena ndani ya michuano mi 5.
Longetivity nayo ni plus, Platini Hana Longetivity ya Ronaldo ndio maana kapitwa.

Na schik Hana assist hivyo kwa sheria za Uefa Ronaldo anakuwa juu. Unless Harry Kane ama sterling afunge goli 2 ama zaidi fainali Ronaldo anakuwa Top scorer.

Kuhusu penalty hawa wamekosa kina Mbappe, Morata, Moreno, Harry Kane na wengine kibao zingekuwa rahisi kila mtu angepata. Hivyo mpe Heshima yake kwa kuwa mpiga penalty mzuri.
 
Pilato wa Fainali ya Jumapili

EEA78BCD-D110-4F2B-A74D-87F405326C35.jpeg
 
Longetivity nayo ni plus, Platini Hana Longetivity ya Ronaldo ndio maana kapitwa.

Na schik Hana assist hivyo kwa sheria za Uefa Ronaldo anakuwa juu. Unless Harry Kane ama sterling afunge goli 2 ama zaidi fainali Ronaldo anakuwa Top scorer.

Kuhusu penalty hawa wamekosa kina Mbappe, Morata, Moreno, Harry Kane na wengine kibao zingekuwa rahisi kila mtu angepata. Hivyo mpe Heshima yake kwa kuwa mpiga penalty mzuri.

Na ndio mana akaitwa Penaldo 😂😂😂
 
Ile game ya jana na ijayo ya italy zitapigwa fitina balaa mpaka wanyanyue kwapa hawa.....yale yale ya 1966 full magumashi

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app

Kiboko yao Diego Maradona...alichowafanya world cup1986 hawatamsahau 😄😄😄 hapo hata kama ni fitina iligonga mwamba
 
Ile mechi kumbe ilikuwa na fitna hivi.

There appeared to be a second ball on the pitch during the play that Raheem Sterling won a penalty for England in extra-time.

#EURO2020 | @Goal233View attachment 1846258
Kama mnataka fitina hata goli la foul la Denmark halikua halali. Sheria inasema wazi timu inayoshambulia inatakiwa angalau iwe mita 1 mbali na ukuta wa timu inayokaba.

Ingekua uingereza ndio wamefunga hii foul siku nzima watu wangeizungumzia jinsi uingereza alivyobebwa na free kick isio halali. Sababu denmark ndio kashinda munaipotezea.

Pia beki wa Denmark Ali rudisha mpira kwa kipa, ambayo adhabu yake ni free kick ndani ya box.
 
Kiboko yao Diego Maradona...alichowafanya world cup1986 hawatamsahau 😄😄😄 hapo hata kama ni fitina iligonga mwamba
Goli la mkono wa Mungu na Goli la Karne ilitosha Maradona na Argentina yake kuiondoa Uingereza katika mashindano ya Kombe la Dunia pale Azteca Stadium, Mexico (Mekiko).
 
Back
Top Bottom