Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kwa staili wanayocheza hao Italia, sidhani kama wanaweza kuifunga England!Italy(Wakatoliki) ni famba ama
England wanacheza kwa uchu. Wanacheza kama wanataka kubeba kombe.
Italia wao muda mwingi wako on defense.