Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #3,521
Inatakiwa mpigaji asiruhusiwe kuupiga tena, ila mchezaji mwingine ndio aupigeHii sheria ya upigaji penati itazamwe upya.
Huwezi mpa mpigaji "double advantage". Ni unyang'anyi kwa timu pinzani.
Akipiga penati asiruhusiwe kuucheza tena mpira ikitokea "rebound" ya namna yeyote ama vinginevyo mpira huo umeguswa na mchezaji wa ndani wa timu pinzani.
Ivi Ferguson ndio amepewa U- Sir kwa sababu ya makombe?Kama England wakitwaa ndoo sipati picha, namuona Southgate akipewa u-Sir
Sababu ya Treble, alishinda Champions league, epl na Fa cup.Ivi Ferguson ndio amepewa U- Sir kwa sababu ya makombe?
Chamdomo naona kajipigia jamvi langu la makuti japo kwa huruma ya penati.Mazee niaje?
Very correct, Kane has done robbery thereInatakiwa mpigaji asiruhusiwe kuupiga tena, ila mchezaji mwingine ndio aupige
Italy and BrazilUtabiri:
Copa America atachukua Argetina
Euro atachukua Italy
Sikuwa nalijua hili,Sababu ya Treble, alishinda Champions league, epl na Fa cup.
Hahahaaa haya, tukutane Jumamosi kwa Copa America, na Jumapili kwa Euro 2020!Chamdomo naona kajipigia jamvi langu kwa makuti japo kwa huruma ya penati.
Sasa atakiona cha mtema kuni kwa wale wazee wa Azzurri
Tusubiri mizimu ya Messi na England kama itaonesha makali yaoHahahaaa haya, tukutane Jumamosi kwa Copa America, na Jumapili kwa Euro 2020!
Halafu mwakani tunaelekea Doha.
Inside ten ndionrole gani hii..!? Namba 10 hiyo ndio asili yake.Mifumo ya mpira imeivolve na kuua role ya all round striker kama ilivyoua inside ten.
Tutaelewana tu taratibu msiukimbie uzi!!
Ile penalty ni ya mchongo tu, wale wajinga jana wamebebwa mno.[emoji23] [emoji23] [emoji23], watakapobeba ndoo ndio utawaelewa vzr mkuu, now wamechange sana, hvi England ni yakumgaragaza mjerumani kweli??.
Mmebebwa sana nyie, ile penalty ni nyepesi sana.Kwani Own Goal sio Goli.
Pumbav
Hapakuwa na Chemistry nzuriUna beckham, wazza, rio, Terry, lampard, Gerrard, Cole, scholes, hargrave's na wengine wa kizazi kile lakini hatukuweza kufika hapa najiuliza chemistry haikuwepo au ni nini? .Kwa uwezo wa mmoja mmoja majina yale yalikuwa yanatisha
Sawa tukutane weekendItaly and Brazil
My prediction