Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Mwamba kanyanyuka, anaendelea na matibabu, kafungua macho kabla hajatolewa uwanjani kwa mujibu wa picha niliyoiona
Dah Mungu ni mwema
Screenshot_20210612-203509_Goal Live.jpg
 
Picha ya mwisho looks promising and that's really good ila career yake ndo basi hapo. Hatoruhusiwa tena kucheza na akikubaliwa teams won't take that liability.
Hapana hta Moussa Dembele ww Atletico alipata same fate tena hakuzinduka kwa dakika kadhaa but wiki 2 baadae alicheza na hakuwahi pata shida yeyote since
 
Jaman Channel gan king'amuzi cha AZAM inarusha haya matangazo ya mpira Euro 2020? Msaada tafadhali.
 
Duh acha mkuu.... Sijawahi shuhudia mtu anapigania maisha yake kwenye live coverage!! Nlihisi kupagawa
Kuna tukio nilishishuhudia la mchezaji wa Bolton wenderers anaitwa Fabrice Muamba na yeye alipata shida ya moyo, duh lilikuwa tukio lililohuzunisha Sana, Mungu ni mwema amesaidia kijana wetu kuendelea kuwa hai
 
Yaani mimi machozi kwa mbali kabisa yalitaka kuanza kunitoka..sio kazi rahisi kumshuhudia binadamu mwenzako akiwa kwenye changamoto ya kupambania uhai wake..
 
Back
Top Bottom