Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #361
Soma mwanzo wa uzi kabisaaaJaman Channel gan king'amuzi cha AZAM inarusha haya matangazo ya mpira Euro 2020? Msaada tafadhali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma mwanzo wa uzi kabisaaaJaman Channel gan king'amuzi cha AZAM inarusha haya matangazo ya mpira Euro 2020? Msaada tafadhali.
Usiombe kufiwa mikononi na mtu wako wa karibu, ukiwa katika harakati za kutafuta namna ya kumsaidia.Taswira yake haiwezi kufutika kichwani, unless otherwise awe sio mtu wako wa karibu sana.Yaani mimi machozi kwa mbali kabisa yalitaka kuanza kunitoka..sio kazi rahisi kumshuhudia binadamu mwenzako akiwa kwenye changamoto ya kupambania uhai wake..
Hawaimbwi sana ila wanajua kuifanya kazi iendemimi naenda na German
Romelu Lukaku is Belgium’s top scorer of all-time [61] and their top scorer in major competitions [8].
Inevitable. [emoji1045] View attachment 1816615
Kisa walimuacha Lukaku?Chelsea ni mda mwingine ni wapuuzi sana
Kisa walimuacha Lukaku?
Huku sisi we only rely in God..without making any efforts.Hili tatizo lingetokea Nangwanda Sijaona au Kassim Majaliwa Stadium nafikiri hali ingekua sio hali. Ulaya Ulaya tu.
Na akina Willian, Hazard?Sio Lukaku tu,