Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,667
- 5,043
Tuna wa alert mapema ...Mbona mnateseka
Aah wap [emoji23][emoji23][emoji23] 225 ni kama unaangalia kivuli ..wanatufanyia kusudi Hawa wajingaHahaha acha wivu D, quality ni ile ile.
224 na 225 leo zote zipo zinaonyesha fainaliAwapi..! nimeangalia chanel ya 225 imefungwa , imebaki ile ya 224 ambayo tunaangalia wale wa juu ya 19900[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Quality mbovu kwakuwa ni SD na sio HDHahaha acha wivu D, quality ni ile ile.
Yote kheri, cha msingi game linatizamikaQuality mbovu kwakuwa ni SD na sio HD
ππ»Team ITALY vidole juu,england mbeleko mwisho Leo.