Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Binafsi nimeumia sana Brazil kufungwa kwenye ardhi Yao na Argentina ... Italy wapo Kwa ajili ya kunifuta machozi [emoji23][emoji817]
 
Awapi..! nimeangalia chanel ya 225 imefungwa , imebaki ile ya 224 ambayo tunaangalia wale wa juu ya 19900[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
224 na 225 leo zote zipo zinaonyesha fainali

D547506C-7898-4278-A028-26B58D3DA97A.jpeg


92A18376-D06B-4AFC-B922-E797DCAE8B1F.jpeg
 
Back
Top Bottom