pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Mpaka dakika 90 1 - 1
England wanashambuliwa sana
England wanashambuliwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shaw Alikuwa majeruhi hajawahi kuwa mchezaji mbaya, toka Soton yupo vizuri.Tumbo joto aje sasa? Ukweli ni kwamba Shaw alikua na mentality ya kitoto. Sasa amejitafuta akajua potential yake kitu ambacho sioni kinampa joto gani Mourinho
Rudia kutafakari upya. Au mpaka wazungu waibadirishe ndiyo utapata uelewa.Maana ya penati ni adhabu, timu inaadhibiwa, hivyo advantage zote anapewa mpigaji, hio ndio haki. Ndio maana kipa pia akitoka tu kwenye mstari anaadhibiwa
Atoke aingie Sancho sema kajamaa kama pumzi ndo maana kocha anakapendaRaheem leo yeye ni kuanguka tu!!
Hahaaaaaaaa chini ya dakika 88 za mchezo???Roberto Mancini haijawahi kuniangusha.
Goli linakuja ndani ya dakika 33 zijazo
Watabadili wakiona sio fair, ukitoa penalty za Ronaldo Euro Hii watu wamekosa penalty nyingi kuliko walizopata. Hawawezi legeza sheria ikiwa watu wa nakosa hivi.Rudia kutafakari upya. Au mpaka wazungu waibadirishe ndiyo utapata uelewa.
Unakumbuka adhabu za red card na penati zilikuwaje,na baadae wakaja ziboresha.
Hoja yangu ni kupewa double advantage. Kama tumekupa advantage ya kupiga penati,ikigonga mwamba ama kipa akiicheza wewe mpigaji usiruhusiwe kuucheza tena huo mpira.
Ama hadi pale utakapoguswa na mchezaji mwingine tena.
Haha naona unakuja na fujo..bas sawa mshinde bas na nyie.Sijaielewa kelele za uingereza zitaku affect vipi hapo makambako. Embu tuweke wazi mkuu