Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Mkuu Mwifwa umeadimika mpk sasa sijakuona
Wikiendi ilinikalia kushoto aisee, nimerejea japo kwa kuchelewa.

Ngoja tuone upepo wa second half, Messi katoa gundu jana, hawa jamaa nao wanaweza kutoa gundu.

Ila bado nina imani na wazee wa Azurri
 
Back
Top Bottom