Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Italy ameshafungwa Fainali mbili, ile Euro 2000 alipofungwa na Ufaransa na Euro 2012 alipofungwa na Spain!

Je leo bahati itakuwa kwao? Mimi karata yangu nawapa wao.

Italy 2-1 England

Ngoja tusubiri
 
Back
Top Bottom