Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

First 15 mins done [emoji3514]

Will this match end in penalties?

#EURO2020
 
Sub ya Saka sijaikubali kabisaaa bora angeingia Sancho au Rashford akimbize.

Saka hana experience kabisa na hili litawacost
Saka anacheza no ya mount nyuma Ya striker, ili acheze Sancho inabidi atoke sterling ili acheze Rashford atoke Grealish.
 
Gigi Buffoni ndio mchezaji wa kwanza kunyanyua kombe akiwa na baba na mwana. (Chiesa)
1993 Copa italia akiwa na Hendrica Chiesa na mwaka huu copa italia tena akiwa na Federico Chiesa m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…