Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Mkuu haijafanya kazi ikiwa unaweza kuniongezea maarifa itapendeza..(nmepakua hyo Hesgoal.com) but instantly haifanyi kazi... Inaniambia tu weit nextmatch wakati kunamatch inaendelea..
Sio lazima uipakue, njia rahisi nenda chrome andika, ingia kwenye site anza kutazama mechi yaani simpo tuu
 
Croatia wanajaribu kupush ili wapate kusawazisha, je wataweza? Wana dakika takribani 10 zimesalia
 
82' Bellingham anaingia kwenye nafasi ya Nahodha Harry Kane ambaye leo amekuwa na mchezo usiovutia
 
Kama mchezo utamalizika hivi, utakuwa ni ushindi wa kwanza kwa England katika mechi za ufunguzi katika mashindano makubwa toka mwaka 1968
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…