Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Sio lazima uipakue, njia rahisi nenda chrome andika, ingia kwenye site anza kutazama mechi yaani simpo tuu
Umeona hapo mimi nimetoka kustream

D9D15B49-C59A-4D3E-84B2-9D654B32A74F.jpeg
 
Croatia wanajaribu kupush ili wapate kusawazisha, je wataweza? Wana dakika takribani 10 zimesalia
 
82' Bellingham anaingia kwenye nafasi ya Nahodha Harry Kane ambaye leo amekuwa na mchezo usiovutia
 
Kama mchezo utamalizika hivi, utakuwa ni ushindi wa kwanza kwa England katika mechi za ufunguzi katika mashindano makubwa toka mwaka 1968
 
Back
Top Bottom