Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #481
65' England 1-0 Croatia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raheem hakutakiwa kuitwa hata kwenye timu kabisa! Hamna cha maana anachocheza.
Pep alijitia kichwa ngumu akamweka fainali.
Mkuu haijafanya kazi ikiwa unaweza kuniongezea maarifa itapendeza..(nmepakua hyo Hesgoal.com) but instantly haifanyi kazi... Inaniambia tu weit nextmatch wakati kunamatch inaendelea..Soma comment namba 1 vizuri utapata jibu
Sio lazima uipakue, njia rahisi nenda chrome andika, ingia kwenye site anza kutazama mechi yaani simpo tuuMkuu haijafanya kazi ikiwa unaweza kuniongezea maarifa itapendeza..(nmepakua hyo Hesgoal.com) but instantly haifanyi kazi... Inaniambia tu weit nextmatch wakati kunamatch inaendelea..
Superb
Umeona hapo mimi nimetoka kustreamSio lazima uipakue, njia rahisi nenda chrome andika, ingia kwenye site anza kutazama mechi yaani simpo tuu