Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #681
Ahsante mkuuWale jamaa zangu wa kucheki online, tumia website ya hesgoal.com mechi zote zinawekwa hapo muda ukifika
Mimi sio mdau ingawa nina ABC zake mkuuWazee wa kujilipua mpooo
Mimi nasubiri dk 90 kwenye hiliMimi nabashiri mechi hii itaisha droo
Sawa mkuuMimi nasubiri dk 90 kwenye hili
NimekusomaMimi sio mdau ingawa nina ABC zake mkuu
Aisee nimeogopa wa-German huwa ni wauaji wakiamua huwa yanatoa kipigo kizito Sana iwe kwenye ligi au timu ya Taifa lakini ufaransa 💪💪💪 hatuzuiliki kante na mbappe wapo.Tukicheki uchambuzi wa
France Vs Germany
Mechi itapigwa katika dimba la Allianz Arena huko Ujerumani japo Ufaransa ndio wamepewa kama wenyeji wa mechi.
Hii ni mechi ya kwanza kuwakutanisha wababe hawa katika hatua ya makundi.
Ufaransa haijapoteza mchezo katika mechi tano zilizopita dhidi ya Ujerumani. Wameshinda 3 na kutoa droo 2.
Wachezaji wa Ufaransa wote ni wazima huku Ujerumani itamkosa kiungo wake Leo Goretzka.
Mechi ni Saa 4:00 Usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Mimi nabashiri mechi hii itaisha droo
💪💪💪💪💪 Namuona pogba hapo na kante.Ngolo Kante na Paul Pogba hawajapoteza mechi yoyote katika mechi 27 walizoanza kwa pamoja
View attachment 1819502
Leo wanategemewa kuibeba timu yao ya taifa💪💪💪💪💪 Namuona pogba hapo na kante.
Ni mapema sana kusema hivyo, mpira dk 90Aisee nimeogopa wa-German huwa ni wauaji wakiamua huwa yanatoa kipigo kizito Sana iwe kwenye ligi au timu ya Taifa lakini ufaransa 💪💪💪 hatuzuiliki kante na mbappe wapo.
Mkuu umejiamni mapema sanaMkeka wangu..
✓Portugal win and Bruno Fernandes to score.
✓France win and Kylian Mbappe' to score.