Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Fuatilia mechi hizo zote mbili kupitia Dstv Chaneli 224 kwa mechi zote

Star Times pia wanaonyesha mechi zote

Azam Tv chaneli 406 ZBC 2 ambapo wao wataonyesha mechi moja tu ya Ufaransa Vs Ujerumani
 
Tukicheki uchambuzi wa
France Vs Germany

Mechi itapigwa katika dimba la Allianz Arena huko Ujerumani japo Ufaransa ndio wamepewa kama wenyeji wa mechi.

Hii ni mechi ya kwanza kuwakutanisha wababe hawa katika hatua ya makundi.

Ufaransa haijapoteza mchezo katika mechi tano zilizopita dhidi ya Ujerumani. Wameshinda 3 na kutoa droo 2.

Wachezaji wa Ufaransa wote ni wazima huku Ujerumani itamkosa kiungo wake Leo Goretzka.

Mechi ni Saa 4:00 Usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

Mimi nabashiri mechi hii itaisha droo
 
Kocha wa Ufaransa, Didier Deschamps endapo atashinda Kombe hili, atakuwa anafukuzia rekodi ya kuwa mtu wa kwanza kushinda kombe la dunia na kombe la euro akiwa kama Mchezaji baadae akiwa kama Kocha.
 
Ngolo Kante na Paul Pogba hawajapoteza mechi yoyote katika mechi 27 walizoanza kwa pamoja

5C2D37B2-56AC-4F68-845D-9DFD346E6BEB.jpeg
 
Tukicheki uchambuzi wa
France Vs Germany

Mechi itapigwa katika dimba la Allianz Arena huko Ujerumani japo Ufaransa ndio wamepewa kama wenyeji wa mechi.

Hii ni mechi ya kwanza kuwakutanisha wababe hawa katika hatua ya makundi.

Ufaransa haijapoteza mchezo katika mechi tano zilizopita dhidi ya Ujerumani. Wameshinda 3 na kutoa droo 2.

Wachezaji wa Ufaransa wote ni wazima huku Ujerumani itamkosa kiungo wake Leo Goretzka.

Mechi ni Saa 4:00 Usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

Mimi nabashiri mechi hii itaisha droo
Aisee nimeogopa wa-German huwa ni wauaji wakiamua huwa yanatoa kipigo kizito Sana iwe kwenye ligi au timu ya Taifa lakini ufaransa 💪💪💪 hatuzuiliki kante na mbappe wapo.
 
Back
Top Bottom