Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Naam chief..

Ngoja niskikizie mkeka utakavyoenda..

Jezi vipi mzee hakuna mpya?..uzi umestack ule
Jezi mpya bado, naona wako bize na Euro. Ila baadae ya leo Barcelona watatambulisha jezi yao mpya hivyo nitaiweka kwenye uzi wetu
 
Cristiano Ronaldo makes history by becoming the first player to play at FIVE different European Championships [emoji294]️[emoji294]️[emoji294]️[emoji294]️[emoji294]️
 
After 30 minutes, no outfield player had fewer touches of the ball for Portugal than Cristiano Ronaldo

Feed the [emoji238]

#EURO2020 #POR
 
Ureno wakishindwa kupata point tatu leo watajiwekea mazingira magumu sana kufuzu mbele ya Ujerumani na ufaransa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…