Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
Hadi sasa Uswizi ndio best loser anayeoongoza. Endapo akitawazwa kuwa best loser anaweza kuja kukutana na Belgium hatua ya 16 boraHT
#SUI 2-0 #TUR
#ITA 1-0 #WAL
Matokeo yakibaki hivi hivi Uswizi na Wales wanafuzu
YahIkitokea Sweden kapigwa na Ana point nne inakuwaje apo? Au itaangaliwa idadi ya magoli?
WamestahiliHongera sana Denmark mumefuzu kishujaa
Woooooooiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23]Wa german bana yakiamua kushushia kipigo hakuna namna utakiepuka [emoji13][emoji13][emoji13]
[emoji1126] ni mchumba tyuuh kwetu, hana maajabu yeyote. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaaa!! Aiseee.
Haya mumfungage Hungary sasa mupate kusonga mbele.
Denmark alikuwa na point zero iwaje amefuzu mkuu?Hongera sana Denmark mumefuzu kishujaa
Mkuu lile kundi F France amefuzu wakati mechi bado hazijaisha?
Kama sijaelewa hivi inakuaje timu iwe imeshafuzu wakati bado kuna mechi ya mwisho ambayo inaweza kumfanya asifuzu? Mfano ni France na England wanakuaje wawe wameshafuzu?
Best loserKama sijaelewa hivi inakuaje timu iwe imeshafuzu wakati bado kuna mechi ya mwisho ambayo inaweza kumfanya asifuzu? Mfano ni France na England wanakuaje wawe wameshafuzu?
Ikitokea wamefungwa wanapita kama best loserMkuu lile kundi F France amefuzu wakati mechi bado hazijaisha?
Kundi lake Belgium ndio ana point 9, wengine wote point 3. Sasa kati ya hao wenye point 3 mwenye magoli mengi ya kufunga ni Denmark.Denmark alikuwa na point zero iwaje amefuzu mkuu?
Calculation zimeprove kuwa kafuzu, ila mechi iliyobaki ndio itaamua nafasi atakayoanguaki(ama mshindi wa kundi, mshindi wa pili au best loser). Kwa hiyo lazima aangukie kwenye hizo nafasiMkuu lile kundi F France amefuzu wakati mechi bado hazijaisha?