Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Italy anaanza kutufelisha kwakweli
Ngoja tuone dhidi ya Portugal pengine kocha atachanga karata zake vizuri kwanzia kwenye kupanga kikosi, kimbinu na kiufundi. Mechi dhidi ya Austria kocha mwenyewe kazingua immobile amekuwa akiharibu mashambulizi mengi sana tangia mechi dhidi ya Uswizi lakini yeye anampanga tu anamuacha chiesa benchi.
Mechi ya jana locatelli alikuwa wa kuanza lakini kamuweka benchi.

Italy ina mapungufu kidogo tu ambayo yakiwekwa sawa wanafika mbali maana ukiangalia upande wa ukuta wana mabeki wengi wa kuifanya ukuta uwe imara. Upande wa kiungo wapo vizuri wanapanga mashambulizi na pia wanamiliki mpira na kukaba kwa kasi endapo wanapoteza mpira. Shida ipo kwenye kutumia nafasi tu zinazotengenezwa
 
Apo umeongea Kama vile mpanga matokeo, Ila Mimi nakuhakikishia fainal itaingia timu ambazo hazikutarajiwa. Umeonaa Hungary alichomfanya German..!! Basi na fainal itakuwa ivyo ivyo mkuu..

Utashangaa Mara paap Denmark hawa apa vs Coatria[emoji23]
 
Mkuu ni Croatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…