cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Group la kibabe, kizazi sanaa.group F karata iko kwa yoyote , [emoji1126] , [emoji632], [emoji629], [emoji1201]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Group la kibabe, kizazi sanaa.group F karata iko kwa yoyote , [emoji1126] , [emoji632], [emoji629], [emoji1201]
Yaaan walinikera mie khaaaah.Ujerumani wasipomuangukia õzil,wakapata msamaha siku watashindwa kuifunga hata Somalia...mechi muhimu kama hii ndo wakafungwe na Hungary!
Sijawahi ona tangu nizaliwe[emoji23][emoji23][emoji23]
Tunawabutua hawa wajukuu wa bibi Elizabeth, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]England v Germany
Maadui kukutana tena
Tupo Pa1.Karata yangu leo ni kwa Wales na Italy
Kwahiyo Wales nae leo hana bahati?Atakayekutana na Denmark hatua Yoyote ile hana bahat
Wales wanakata tu viuno..Karata yangu leo ni kwa Wales na Italy
@Ollachuga Oc wataelewa tu, hii ngoma ni mdogomdogo kama croatia 2018 mpaka final.Hawa Dernmak siyo wa kuchukuliwa poa ..wanapiga mwingi Sana ..ngoja tuone hii next round wanaweza fanya lolote.
Unasemaje sasa kuhusu denimark[emoji2955].Keep dreaming
Unawachukuliaje Denimark wewe? [emoji23]Karata yangu leo ni kwa Wales na Italy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo Wales nae leo hana bahati?
Daaah sina maneno, wamestahili🙌🏻🙌🏻Unasemaje sasa kuhusu denimark[emoji2955].