Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Huu ndio mkeka wangu wa makuti ya Nazi.

Unafikiri kila mmoja hapa nimtendea haki
IMG_20210624_152603.JPG
 
Paul Pogba and N'Golo Kante have started 30 games together for France and still never lost [emoji2956]

The perfect midfield pair? [emoji1666]

#EURO2020
IMG_20210624_163642_405.jpg
IMG_20210624_163646_229.jpg
 
Huu ndio mkeka wangu wa makuti ya Nazi.

Unafikiri kila mmoja hapa nimtendea hakiView attachment 1828567
Aisee kwamba Italy atatolewa na Ufaransa. Hapa nakataa kama Italy ataweza kumtoa Ureno basi basi anaweza pia akawatoa Ufaransa kwasababu kiwango cha Ufaransa na ureno vinashabihiana.

Germany pia wanaweza kuishia kwa Netherlands. Huo ni mtazamo wangu. Yote kwa yote tusubiri tuone mambo yatakuaje
 
Italia hufanya vizuri pale usipotegemea. Hii ni kauli ya kocha mkongwe Ariggo Sacchi. Italia haieleweki eleweki. Ila ni ya moto. Haswa kwenye knockout game. Ndio timu ambayo haijaruhusu goli mpaka sasa. Hii maana yake ni kwqmba backline yake ni imara.

Watafika mbali. Hata kama hawatanyakuwa kombe
 
Na siku Zote Italia nzuri ni ile yenye Defence imara
 
Aisee kwamba Italy atatolewa na Ufaransa. Hapa nakataa kama Italy ataweza kumtoa Ureno basi basi anaweza pia akawatoa Ufaransa kwasababu kiwango cha Ufaransa na ureno vinashabihiana.

Germany pia wanaweza kuishia kwa Netherlands. Huo ni mtazamo wangu. Yote kwa yote tusubiri tuone mambo yatakuaje
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom