Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
Spain ni wagumu lakini hata ukifuzu unakutana na France robo fainali.Sisi wa Coatria imekuwaje tukafuzu mkuu?
Huna safari ndefu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Spain ni wagumu lakini hata ukifuzu unakutana na France robo fainali.Sisi wa Coatria imekuwaje tukafuzu mkuu?
Mkuu mpira wa Coatria umewona kweli au unaongea tu.! Sisi tunacheza kama hatujui vile yani kama hatumo seriyaz kabisa. Lakin mdogo mdogo tunatembea hadi final.Spain ni wagumu lakini hata ukifuzu unakutana na France robo fainali.
Huna safari ndefu mkuu
Spain haijawahi juwa timu tishio duniani zaidi ya kizazi dhahabu tu cha Barcelona ndiyo kilichoibeba.Spain wamekuwa sinyoritaa limebaki jina hata Taifa stars inaweza kuwagonga goli tatu bila.
Fabio CapelloYule hana anachojua na sikumbuki England kama walishawahi pata kocha mzuri
Yani jamaa aliusubiria mpira akiwa juu, hii ilikuwa ni best athletic move[emoji91]Portugal tupo vizuri japo tuliikosakosa german kama hiviView attachment 1828156
Denmark ni wa moto balaa, ingawa wengi hawawazungumizii wanaweza kufanya maajabu kama ya Croatia 2018 kombe la dunia.Mkuu Denmark tunaupiga mwingi balaa..
Nimewaona dhidi ya England na Czech Rep. Timu yenu ni ya kawaida tu wachezaji wengi nyota wamezeeka na viwango vyao kushuka.Mkuu mpira wa Coatria umewona kweli au unaongea tu.! Sisi tunacheza kama hatujui vile yani kama hatumo seriyaz kabisa. Lakin mdogo mdogo tunatembea hadi final.
Umeona ile migoli ya Modrich na Le Capiteinee kwenye ile game dhidi ya Scotland??
Kuna ilipigwa cross, Ronaldo akaruka juu kabla ya mpira kufika alipo, cha ajabu ulimkuta akiwa bado juu.
Kwenye header namkubali sana huyu mwamba.
Ametumia sana akili kuruka.Portugal tupo vizuri japo tuliikosakosa german kama hiviView attachment 1828156
Mkuu sisi ni underdog tunaenda kimya kimya tu Mara paap fainal hii hapa.Nimewaona dhidi ya England na Czech Rep. Timu yenu ni ya kawaida tu wachezaji wengi nyota wamezeeka na viwango vyao kushuka.
Binafsi sidhani kama utashinda dhidi ya Spain.
Hawa Dernmak siyo wa kuchukuliwa poa ..wanapiga mwingi Sana ..ngoja tuone hii next round wanaweza fanya lolote.Denmark ni wa moto balaa, ingawa wengi hawawazungumizii wanaweza kufanya maajabu kama ya Croatia 2018 kombe la dunia.
Keep dreamingMkuu sisi ni underdog tunaenda kimya kimya tu Mara paap fainal hii hapa.
Daah inauma kweliPepe was fuming after he told Rui Patricio exactly where Karim Benzema was going to hit his penalty.
The Portugal keeper dived the other way [emoji2369]
#EURO2020 View attachment 1829600
Euro 92 hawakufuzu ila baadae waliitwa kushiriki na kuchukua nafasi ya Yugoslavia, basi Denmark wakaitumia nafasi ike vizuri mpaka wakabeba ndooHawa Dernmak siyo wa kuchukuliwa poa ..wanapiga mwingi Sana ..ngoja tuone hii next round wanaweza fanya lolote.
Germany aliliwa kimasihara sanaEuro 92 hawakufuzu ila baadae waliitwa kushiriki na kuchukua nafasi ya Yugoslavia, basi Denmark wakaitumia nafasi ike vizuri mpaka wakabeba ndoo
Mkuu utakuja kuniambia, Hapo portugal na Italy umechemsha! Portugal atapita na atafika fainali. Pia Germany na Netherland umechemsha, Netherland atapita na fainali ni Porgugal na Netherland. Hapo kwenye fainali chochote kinaweza kutokea japo shilingi yangu naiweka kwa Portugal.Huu ndio mkeka wangu wa makuti ya Nazi.
Unafikiri kila mmoja hapa nimtendea hakiView attachment 1828567
Kila mtu ana mtizamo wake, wewe unajaribu kutuaminisha kama una uhakika! Lets wait and see...Mkuu utakuja kuniambia, Hapo portugal na Italy umechemsha! Portugal atapita na atafika fainali. Pia Germany na Netherland umechemsha, Netherland atapita na fainali ni Porgugal na Netherland. Hapo kwenye fainali chochote kinaweza kutokea japo shilingi yangu naiweka kwa Portugal.
Ufaransa imejaza nyota wenye majina makubwa mno lakini hawajaonesha thamani ya majina hayo uwanjani. Mpaka sasa Mbape nyavu anaonea kwenye luninga tu!!
SanaGermany aliliwa kimasihara sana