OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Kwa Sasa mpira hauna vipaji vya asili Tena ni academy tu mkuuCzech alishawahi kumuadhibu Holland kwenye haya mashindano, euro 2004 kama sikosei.
Ile Czech ilikuwa ya maana zaidi, sio kama hii. Walikuwa na watu kama Nedved, Poborsky, Koller, Baros, Smicer.
Dah zamani kulikuwa na timu nyingi za maana sana.
Hizi Holland ndio Netherlands mkuu??61' Holland 0-0 Czech
Hawa ni underdog Yani hizi timu kubwa kubwa Kama German, France zijipange kweliMkuu Denmark ni habari nyingine kabisa, wale jamaa wanatandaza mpira kiasi kwamba hata wakishinda inakuwa sio kwa bahati.
Kaptein wao kawatia nuksi anasapoti ushoga.Waholanzi wamesaliti utamaduni wao wa 433 total football uliowapa heshima kubwa ulimwenguni kote.
Wacha warudi nyumbani wakajitathmini na kujipanga upya kuelekea Qatar 2022.
Yah kakaHizi Holland ndio Netherlands mkuu??
Uholanzi ni moja ya timu isiyo na bahati kabisa katika soka, sidhani Kama washatwaa hata hii euro..Dah mkuu ile holand ilikua ya moto sana ile final mpka leo sielew spain walitoboa vp,
Babu upara kwenye ubora wake miamba mingi sana kagongesha akitokea pemben af anachkua kijiji chake..
Hahaha Naona mkeka unakusaliti mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Hongereni Czech Republic mumenisuprise sana kwa kumega mkeka wanguView attachment 1832602
Huyu mtu msimu ujao tukimuona EPL itapendeza Sana, anakipiga timu gani na ligi gani?
Pole mkuuHongereni Czech Republic mumenisuprise sana kwa kumega mkeka wanguView attachment 1832602
For sure mkuu nakubali [emoji817][emoji110]Kwa Sasa mpira hauna vipaji vya asili Tena ni academy tu mkuu
Belgium vs Portugal ...utabiri ukoje .....
Me Nampa Portugal
Bayer 04 Leverkusen, BundesligaHuyu mtu msimu ujao tukimuona EPL itapendeza Sana, anakipiga timu gani na ligi gani?