Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Czech alishawahi kumuadhibu Holland kwenye haya mashindano, euro 2004 kama sikosei.

Ile Czech ilikuwa ya maana zaidi, sio kama hii. Walikuwa na watu kama Nedved, Poborsky, Koller, Baros, Smicer.

Dah zamani kulikuwa na timu nyingi za maana sana.
Kwa Sasa mpira hauna vipaji vya asili Tena ni academy tu mkuu
 
Line up
IMG_20210627_211516_402.jpg
 
Dah mkuu ile holand ilikua ya moto sana ile final mpka leo sielew spain walitoboa vp,
Babu upara kwenye ubora wake miamba mingi sana kagongesha akitokea pemben af anachkua kijiji chake..
Uholanzi ni moja ya timu isiyo na bahati kabisa katika soka, sidhani Kama washatwaa hata hii euro..
 
Belgium vs Portugal ...utabiri ukoje .....

Me Nampa Portugal
 
Back
Top Bottom