Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

Spain ilipochukua Euro mara 2 consecutive chini ya vicente dele bousque ulikuwa darasa la ngapi?
 
Spain ilipochukua Euro mara 2 consecutive chini ya vicente dele bousque ulikuwa darasa la ngapi?
Ana point mkuu, ukiondoa ile generation yao ya akina Xavi na Iniesta 2008-2012 Spain miaka yote ilikuwaga ni timu yenye majigambo na mihemuko mingi kama waingereza lakini walikuwa hawavuki robo fainali.

Kabla ya 2008 Spain amewahi kufika nusu fainali ya michuano ya kimataifa mara 2 tu katika maisha yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…